Habari ya majukumu wakuu. Ninahitaji mbuzi wawili (jike) wa maziwa. Sina uzoefu hasa wa majina ya breed zake lakini itoshe kusema kuwa wawe ni wale wa kisasa ambao wanatoa maziwa kwa wingi. Kama unafahamu mahali wanapopatikana tafadhali naomba usisite kunijulisha.
Shukrani.
0755964775