Nahitaji mchango wa mawazo

Nahitaji mchango wa mawazo

Joined
Nov 21, 2015
Posts
34
Reaction score
13
Habari yenu wadau wa jamii forum..i hope kila mmoja anaendelea vizuri katika harakati zake za kila siku za kusaka mafanikio.Kuna jambo naomba kuuliza kwa yeyote ambaye atakuwa na mchango wa mawazo ntashukuru sana. Kuna biashara nafikiria kufanya, nataka nianze kununua miogo mikavu kutoka kwa wakulima na then nikauze katika makampuni/viwanda ambavyo vinahusika na kuprocess miogo kwenda kwenye products zingine kama starch na kadhalika. Tatizo nililonalo ni kwamba mpaka sasa sijaweza jua kiwanda/kampuni yeyote ambaye inaweza kuwa kama soko kwa bidhaa hii...naomba kwa yeyote anayefahamu chochote kuhusu hii biashara anijuze

Thanks in advance
 
mkuu hata sisi tunaanzaga hivohivo huna hata pakupeleka bidhaa zako mwisho wa siku unavila wewe mwenyewe.

chagua biashara yenye kulipa kulingana na eneo la biashara
 
Mkuu Kuna biashara ya mazao kama mahindi,karanga nk.tutafutane mwakan mwenzi wa 3 hii biashara inafaida sana.
 
Back
Top Bottom