Nahitaji Mchumba/boyfriend

Kwa hiyo una uzuni (depression) unatafuta mtu kumpelekea depression yako? ungetibu kwanza huzuni yako kwa njia za kisaikolojia ndipo utafute kidume cha kuterezamo
Asante sana nimeachwa juzi juzi tu natafuta wa kuniondoa mawazo ya yule kakaa .
 
akipata vichwa vyake kumi anauhakika wa kodi, vocha, kula vizuri na ukimwita utume naul kazi yake kubwa ni kumeza p2 basi
😂😂😂
Sina shida ya vichwa
Kwanza sijaongea na yoyote Toka humu Jf .
 
Mimi hapana hujanikamata leo nimeshtuka mtego huu tena umewekewa ulimbo kabisa
Sijaja kumkamata mtu
Inakuwaje mnaogopea mwanamke anayetafuta boyfriend

Nitafute mwingine huko 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…