Nahitaji mchumba humu.....members niozesheni

Nahitaji mchumba humu.....members niozesheni

Wapendwa muangalie kwa umakini unaweza kujinyakulia wa jinsia yako,mamako,babako,babu au mjukuu wako,hebu itifaki ya umri izingatiwe! JF kwa kweli Nomaa!
 
Hahahah nyie ni noma mmeleta mashambuliz hadi huku mie nawatazama mkimaliza sarakasi zenu nahitimisha pambano kwa KO hahahahah watu watakonda mwaka huu lol
Hahahaaaaaa! Hapo sawa manake huku kuna mchakato usio rasmi! Watu wote tumeamua kubanana hapo hapo!!!!! Hamna anaekata tamaa!
 
cheki profile ya huyu binadamu,,

Join Date : 14th December 2012
Posts : 39
Rep Power : 308
Likes Received1
Likes Given0


hapa inaonesha ameingia huku kweli kutafuta mchumba, ivi amejuaje mambo ya jamii forum
ata unavomuambia maswala ya MMU atajua api,, ? anyway
best of luck,, it takes time to learn someone, but it takes no time to fall in love,, love z spontaneous
 
Ile ni mali ya Uma!!!!!!! Kujibinafsishia hakutakiwi! Ujamaa wako uko wapi!

He is too good to be owned by 1 woman!!!!!!!!! ITS JST NOT FAIR!!!!!!!

Ahh wap...!!!!hakuna cha ujamaa mbele ya barafu ya moyo yangu!!!
 
Kama wewe ni she nikotayari nami niko kwenye mbio kama zako.
 
Back
Top Bottom