Barnabas mgimba
Member
- Apr 29, 2013
- 25
- 3
Mim ni kijana wa umri wa miaka 26 na ninafanya kaz morogoro.nimejitokeza hapa jf kutafuta mchumba/mke wa kuoa ambaye nitafanya nae maisha.awe ni christian,awe na heshimu wazaz wang,awe na mapenz/upendo wa kweli.na awe na miaka 23-26. Kama upo tayar nitumie PM au my email barnabasmgimba837@gmail.com .nice night.