Ninaweza kueleza hayo kwa mtu alie tayari Dada Rachael.Mwanamke uliyezaa nae yupo wapi ??
Joking? Si mbaya...Aisee sina hata kigezo kimoja ya unavyovihitaji ooooh too bad
Nipo serious aisee yani sina bahati kabisaAhahaha...
Joking? Si mbaya...
Sawa...Nipo serious aisee yani sina bahati kabisa
OkNinaweza kueleza hayo kwa mtu alie tayari Dada Rachael.
mimi hapa naomba uje in box tuwasiliane zaidiHabari wapendwa,
Najitokeza pia leo katika jukwaa hili nikihitaji mwanamke wa kuwa nae katika ndoa. Nina miaka 31, nina mtoto mmoja miaka minne. Elimu yangu ni chuo kikuu. Mwanamke ninaemhitaji angalau awe na sifa zifuatazo:
1. Mzuri
2.mkristo
3.awe ameajiriwa/amejiajiri
4.miaka 25-28
Mwache mwenzako mbona wangine wamepata muonee[emoji1][emoji1]My friend! You are lost totally...mchumba hatafutwi kwenye social networks!! Ni maoni yangu tu lkn!!!!!