Nahitaji mchumba/mke

Nahitaji mchumba/mke

Aisee sina hata kigezo kimoja ya unavyovihitaji ooooh too bad
 
Habari wapendwa,

Najitokeza pia leo katika jukwaa hili nikihitaji mwanamke wa kuwa nae katika ndoa. Nina miaka 31, nina mtoto mmoja miaka minne. Elimu yangu ni chuo kikuu. Mwanamke ninaemhitaji angalau awe na sifa zifuatazo:
1. Mzuri
2.mkristo
3.awe ameajiriwa/amejiajiri
4.miaka 25-28
mimi hapa naomba uje in box tuwasiliane zaidi
 
My friend! You are lost totally...mchumba hatafutwi kwenye social networks!! Ni maoni yangu tu lkn!!!!!
 
Back
Top Bottom