Ukiwa na K tu utamfaa mleta madaMimi sina vyote[emoji6]
Habari wana jamii forum..mm nipo serious naitaji mchumba kilema hasa awe hana miguu au masikio
Nimetokea kuwa na wanawake kadhaa ila saizi nawapenda na navutiwa na vilem...
Hapa true love ni hisiaUshirikina huu
Namuoa mm sitaki kimchezeaIli ukimuacha ashindwe ku-move on, wala kuona.
Hapana mm hao nishawai kuwa nao nataka kilemaUkiwa na K tu utamfaa mleta mada
Hapa true love ni hisia
Ndio si km unavotafuta mtu mweupe au mweusi ...nimetafuta sana nimekosa ndio maana nimesharw humu km yupoTrue love, hisia na mtu asiye na masikio
Ndio si km unavotafuta mtu mweupe au mweusi ...nimetafuta sana nimekosa ndio maana nimesharw humu km yupo
Hapana mm navutiwa na hisia juu ya watu wa hivyoUna maana kwamba unataka asiesikia maeneno ya watu wala miguu ya kumuwezesha kwenda mbali akakuacha wewe?
Mm mlokole cjihusishia shirkiWashirikina nyinyi
Mm mlokole sishiriki shirkiWashirikina nyinyi
Fafanua au na kile hakipoMimi sina vyote[emoji6]
Mkuu unataka uwafanye nini?! Au una siri gani na hao walemavu?Habari wana Jamii forum..mm nipo serious naitaji mchumba kilema hasa awe hana miguu au masikio
Nimetokea kuwa na wanawake kadhaa ila saizi nawapenda na navutiwa na vilema
Can yangu
1. Jinsia-me
2. Umri-25
3. Dini-Mlokole
Upendo wa ndani kabisa .......navutiwa nao tuMkuu unataka uwafanye nini?! Au una siri gani na hao walemavu?
Funguka asee
Ongeza nyama vizuri[emoji848]
No kwa ajili ya familia kuanzishaUsije ukamtoa kafara kama IKEMEFUNA.