emanuel kihongosi
Member
- Jul 2, 2017
- 37
- 9
Naitwa Loveness Senzigwa nipo Usariver Arusha nahitaji nipate mchumba mwenye upendo wa dhati, nipo na mtoto mmoja wa kiume umri wake miaka minne, nahitaji mwenza tuweze kuanza maisha dini awe mkiristo asiwe mlevi tafadhali pia awe mcha Mungu maana itakua jambo jema.
Ni matumaini yangu mola atanibariki asante, kwa aliye tayari anichek hapa.
0746613876 SMS zitajibiwa lakini kueni serious
Ni matumaini yangu mola atanibariki asante, kwa aliye tayari anichek hapa.
0746613876 SMS zitajibiwa lakini kueni serious