Hasa hayo ya kudumu kwa ndoa ni fanaka za Allah mwenyewe, si unajua unaweza kutana na your potential hubby, wife kanisani afu msidumu vile vile afu wale walokutana club full amani na wanadumu kwenye ndoa yao kama ufisadi na Tanzania...ahaaaaa!!!!!!!! haya heri zake je ndoa hizo zinadumu?
Hasa hayo ya kudumu kwa ndoa ni fanaka za Allah mwenyewe, si unajua unaweza kutana na your potential hubby, wife kanisani afu msidumu vile vile afu wale walokutana club full amani na wanadumu kwenye ndoa yao kama ufisadi na Tanzania...
Yah muhimu ni kutake leap of faith, you just never know how life works, ts really mysterious n marvelous...haya mkuu maana haya mambo yako complex in nature. yote yanawezekana
Acha kuzuga wewe, em jaribu bahati yako ukwee pipa ukaishi hiroshima...
Nimelipenda bandiko lako ghafla! Ila sasa watoto watafata dini ipi kama wewe dini kwako siyo issue? Je mkioana mtaishi wapi? Na je katika hatua za mwanzo zakufahamiana na kupima afya mtakutania wapi kutekeleza haya? Japo najua mawasiliano yataanza electronically still kukutana nako kutahitajika. Na wewe vipi wasifu wako? Mrefu kiasi gani? je mweusi au mweupe, presentabla au, unatumia kilevi? unavuta sigara? Nadhani ukijibu maswal haya hapa jf itakupunguzia kazi ya kushort list sbb wataaplly wale tu walioridhika na sifa zako! hahaha
Ni mimi sunshine potential candidate!! Tehe tehe....
Haya nimekusoma...BTW issue sio pipa ni ndoa tuNdugu yangu km ipo ipo 2.....kukwea pipa sio issue,tushakwea sana mkuu
vigezo nimekidhi ila sijui urefu wangu sijui ni cm ngapi kwa kwenda juu
weka picha nikupe shangazi yangu
ndo mzuri huyu keshachoka maisha hatasumbua sumbua kama vijana ,hapa nammezea mate kweli vile tu nimekosa visaKazi kwenu kinadada!Jimwageni,but 39 yrs?mbona babu.
WEWE MSHIKAJI NENDA PALE OFISI za NEDCO nyuma ya mawenzi hoteli, pana receptionist halcast wa kiarabu anatafuta mchumba pia. au ukiingia ofisi za KAMATA sehemu ya dilisha za tiketi mna wasihana wapogolo wawili nao wanatafuta mchumba. au tafuta kiwanda cha TANITA pale vingunguti,namo muna wadada wengi tu wanatafuta wachumba.TAFICO pia kuna mhasibu anatafuta mume. ni juu yako kutafuta simu za mashirika na viwanda hivyo!Mimi ni mtanzania Nina miaka 39 sijawahi kuoa wala sina mtoto, nilisoma o level tambaza secondary, high level iliboru, udsm baadae nilikuja hapa Japan kwa masomo zaidi university of Tokyo kwa sasa nafanya kazi kampuni ya kuzalisha nishati ya umeme ya kifaransa edf hapa Tokyo natafuta rafiki wa kike ndani na nje ya tanzania, awe na elimu isiopungua high school, Sio mlevi, asivute sigara, mwenye malengo na maisha ya familia mwenye upendo wa dhati, dini Sio issue sana kwangu ila Mimi ni mkatoliki awe na umri 27-35, awe tayari kupima afya pia, urefu asiwe chini ya 170 cm, zaidi tuwasiliane +8180 4444 1220 au e mail, mgnjmoses@live.co.uk
..na umri 27-35, awe tayari kupima afya pia, urefu asiwe chini ya 170 cm, zaidi tuwasiliane +8180 4444 1220 au e mail, mgnjmoses@live.co.uk
usjali mkuu ipo ubalozini nikishapata visa nakupm soonNategemea kurudi nyumbani mwezi 12 mwaka huu kwa mapumziko, mkataba wangu wa kazi unakwisha 2016 Kama nitabahatika kupata mlengwa nitaishi nae hapa Japan, mkataba utapokwisha tutarudi nyumbani, urefu wangu 182 cm, rangi maji ya kunde,Sio mlevi, sivuti sigara, nipo tayari kupima afya wakati wowote nitaporudi nyumbani kwa mapumziko mwaka huu, tusiwe na dhana Kwamba watu wote ni wahuni! Unaweza kupata mke au mume sehemu yoyote inahitaji umakini tu.