Mimi ni mtanzania Nina miaka 39 sijawahi kuoa wala sina mtoto, nilisoma o level tambaza secondary, high level iliboru, udsm baadae nilikuja hapa Japan kwa masomo zaidi university of Tokyo kwa sasa nafanya kazi kampuni ya kuzalisha nishati ya umeme ya kifaransa edf hapa Tokyo natafuta rafiki wa kike ndani na nje ya tanzania, awe na elimu isiopungua high school, Sio mlevi, asivute sigara, mwenye malengo na maisha ya familia mwenye upendo wa dhati, dini Sio issue sana kwangu ila Mimi ni mkatoliki awe na umri 27-35, awe tayari kupima afya pia, urefu asiwe chini ya 170 cm, zaidi tuwasiliane +8180 4444 1220 au e mail,
mgnjmoses@live.co.uk