Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Sifa zote ninazo, na nia ninayo pia.... ila sifa moja tu nimekosa, mie muislam jamani[emoji19]
 
Sifa zote ninazo, na nia ninayo pia.... ila sifa moja tu nimekosa, mie muislam jamani[emoji19]
Doh, nahofia utaniolea wake wengine mkuu😛 maana dini inaruhusu, uke wenza mmh
 
Sifa zako ni nyingi ulizozotaja na Mimi nikuulize je kalio unalo la kutosha kama la masogange? kama ni ndio usiendelee kupoteza muda njoo inbox tupange mipango ya ndoa itakuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…