mriringa
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 663
- 714
Under qualificationVyote ninavyo Ila nna25[emoji3590][emoji3590]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Under qualificationVyote ninavyo Ila nna25[emoji3590][emoji3590]
Na uzito wako ni ngapi tafadhali kama hutojali!!?Nna urefu futi 5.95, karibu
Yan tangu mwezi wa 4 hujampata tu. Haya ukishindwa kote ni pmNna urefu futi 5.95, karibu
Sawa ahsante my backup.Yan tangu mwezi wa 4 hujampata tu. Haya ukishindwa kote ni pm
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.
Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.
Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani
NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.
kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)
Weekend njema.
Doh, nahofia utaniolea wake wengine mkuu😛 maana dini inaruhusu, uke wenza mmhSifa zote ninazo, na nia ninayo pia.... ila sifa moja tu nimekosa, mie muislam jamani[emoji19]
Please if you're serious come privately, si mnene wala mwembamba as i said.Na uzito wako ni ngapi tafadhali kama hutojali!!?
Ok sawaMimi sifa ninazo....karibu pm...
Njoo inbox Dada tuyajengeNdiyo bado mkuu, karibu!
KaribuNjoo inbox Dada tuyajenge
Sifa zako ni nyingi ulizozotaja na Mimi nikuulize je kalio unalo la kutosha kama la masogange? kama ni ndio usiendelee kupoteza muda njoo inbox tupange mipango ya ndoa itakuwaje?Hello,