Njoo PM.How deeply did you wished me to think?, do you mean mtu akihitaji kupima ndiyo yuko tayari the next day kuhave sex na je kupima is all about having sex? I asked for a friendship na baadaye hatua zingine kama uchumba na ndoa vingefuata je niende tu blindly bila kujua afya ya huyo mwenza?.
Hapana, naitwa Yello Masai kabisaAhsante ila nimeona humu siyo Facebook, ndiyo maana hata jina tu unatumia fake is it? Are you Yello masai for real?
Shida ni dini tu vigezo vingine nimekidhi,Ahsante ila nimeona humu siyo Facebook, ndiyo maana hata jina tu unatumia fake is it? Are you Yello masai for real?
Vigezo vya urefu wa 6ft sio mchezo ungeweka hata 5.5ft wanaume wapo tena waoajiHapana sikufanikiwa
Sawa ahsanteVigezo vya urefu wa 6ft sio mchezo ungeweka hata 5.5ft wanaume wapo tena waoaji
Unamaanisha uliulizwa kuhusu kazi yako?Wadada wa kitanzania wakishaajiriwa wanajiona wao ndio Kila kitu wanadharau hata wanaume ghafla wanashangaa muda umeisha
Wanashindwakuelewa hako kamshahara kake ni Pato la kawaida kabisa la siku Kwa mjasiriamali
Imagine; Kama unaweza ulanunua gari ya milioni 27 bila mkopo wowote
Je huyu muajiriwa atazunguka hapa miaka mingapi?
Alafu nashangaa mtu unamuomba namba tu anakuuliza niambie kwanza wewe unafanya kazi gani?
Mimi ni Msomi ujue
[emoji16][emoji16][emoji16] Wanawake wa kiafrika Kuna shida mahali
Ahsante sana, japo hakukua na ulazima sana wa kuandika, Ungeweza kupita kimya.SINA SIFA ZOTE , PIA MAPENZI YA DHATI SINA ....
[emoji117]utafutaji mwema.....
Chini ya futi 6 pita kushotoHello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.
Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.
Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani
NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.
kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)
Weekend njema.
Hongera sana kama ndiyo wewe huyu...View attachment 1702928
AhsanteMmmm kila heriii