- Thread starter
- #561
Karibu sanaNaweka kambi hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Karibu sanaNaweka kambi hapa
😀Ke na wanaume warefu.😀
KaribuHello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.
Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.
Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani
NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.
kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)
Weekend njema.
tupo[emoji1540][emoji1540]jf Hamna mwanaume Single..
Ulifanikiwa kumpata mwenzaAhsante wote
Hapana sikufanikiwaUlifanikiwa kumpata mwenza
Heee!! Nilivyoona likes nyingi nikajua wapo waliojitosa. 🤔Hapana sikufanikiwa
Njoo inbox tuyajengeHapana sikufanikiwa
Mfuate weweNjoo inbox tuyajenge
Daah ni Muslim je utabadili dini?Hapana sikufanikiwa
Urefu umenikosesha mkeHello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.
Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.
Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani
NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.
kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)
Weekend njema.
Anaombolezwa Hamza au polisi? Maana kama raia mmegawanyika hivijamani hivi si bado tupo kwa maombolezo.
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.
Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.
Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani
NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.
kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)
Weekend njema.
Ahsante kwa ushauri, Jumapili njema.1. kanisani umekosa.
2. College/school/class mates hola.
3. Majirani imeshindikana.
4. Oficin imebuma.
5. Mashirika mnayoshirikiana kazini hola.
6. Na tax driver, Boda boda hola....
Baada ya hao wote wanaokufaham kushindikana, sasa umekuja Jamii forum kwa ambao hawakujui....
Ushauri:
Waowaji wapo wengi sana:
1. Badilika tabia.
2. Ongeza sala.
3. Jitunze and have morals.
4. Hata Kama Una hela, jishushe.
5. Usivuliwe chupi kirahisi.
Umeongelea swala la kupima, that means upo tayari kwenda kitandani next day, this tells a lot about your character, Safari ya mahusiano should take longer before sex.
Nimeshauri tu, yanaweza yakuume, Ilan. Kama upo open minded utakuwa umenielewa sana, I may be of great help to you ki ushauri.
Kama bado hujapata mme njoo PM ila huo umri sijafikisha. Afu tambua umri na akili ya mtu n vtu viwili tofauti kabisa. Unaweza kuta mwanaume ana miaka 30+ lakn akili yake ni mvulana wa miaka 19.Ahsante kwa ushauri, Jumapili njema.
Wale ambao tuna umri below 30 but vigezo vingine tunavyo tutume maombi pia!?😏😏Hello,