Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)

Weekend njema.
Check inbox please
 
Wee Dada koma , unaleta domo chafu lako ukitegemea ukutane na msafi eeh. Endelea kuonesha your stupidity na ujifunze kutoparamia thread zisizokuhusu. Wala tusingefika huku[emoji83][emoji83]
Nawewe unaleta fomo chafu hata kabla hujaolewa. Kuolewa mchezo?
 
We Mmama wewe unatafuta pa kufia na uzee wako siyo? Ukinijia vibaya nna mdomo ndiyo unashaurije[emoji57][emoji57]
Ndio maana unazeeka bila mtoto. Huenda u mgumba ila hujijui...
 
Sawa ila unajisifia siyo mgumba pia kumbe watoto wote umesingiziwa si wako,omba Mungu na usimcheke mtu. Kwanza kwa huu mdomo kama mama wa kiswahili hata huo urijali sidhani ongea vizuri na mkeo akwambie ukweli. Ila sawa Dada Ashura mimi naweza kuwa mgumba ama nisiwe vile vile. Hayo ni majaaliwa tu.
 
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)

Weekend njema.
TIGO utatoa sio tunakuja pm huko afu unatusumbua pia ujaelezea km tako ni kubwa au dogo na chuchuchu je makubwa au madogo yamesimama au yamelala

Nb: km chura ipo ni matiti ni makubwa nichek pm
 
Jitahidi kuheshimu nyuzi za watu japo kidogo mkuu. Unaweza kaa kimya ukiona hamna vigezo vinavokufaa. Sijapenda.
 
nyie miyayusho nimekwmbia njoo PM ujaja unatka ufatwe PM ww umekuwa nan?
 
Tukutane
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)

Weekend njema.
DM...japo nahisi nimechelewa
 
Back
Top Bottom