Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Ungekuwa na mtoto ningekufikiria. Sasa wewe unaona sifa kutokuwa na mtoto umri wote huo? Are you a problematic?
Ok so? We fikiria hao wengine , wapo wataonifikiria na hiyo sifa. Usichokipenda wewe mwingine anakipenda, are you a problematic too ? Hakukua na ulazima wa kucomment kama unaona sina sifa unazotaka focus na wenye hizo sifa huko. Acha kuonyesha how stupid you're.
 
Kwa niaba ya jeshi kubwa nyuma yangu.....Mchepuko hutaki? FWB? No strings attached?

Njoo PM
 
[emoji848] Dah nimekosa sifa ya urefu,ila vingine ninavyo,,vip ufupi kama wa Messi? Kama hutojali nichek PM.
 
Ok so? We fikiria hao wengine , wapo wataonifikiria na hiyo sifa. Usichokipenda wewe mwingine anakipenda, are you a problematic too ? Hakukua na ulazima wa kucomment kama unaona sina sifa unazotaka focus na wenye hizo sifa huko. Acha kuonyesha how stupid you're.
Yaani kwa mdomo huu ndio maana hujaolewa mpaka sasa....
 
Huyu hawezi kuolewa sasa hivi. Atasubiri miaka mingine ka 9 hivi. Ana mfomo mchafu sana........!
 
Ok kwahiyo unaweza kuona mtu anafaa kuwa mpenzi au mke just kwa kwenda naye lunch? Unataka kumuona anavokula vibaya ama vizuri, unavutiwa na mtu anayekulaje?
Unaona domo chafu lako lilivyo? Utaolewa na babu wa miaka 90...
 
Unaona domo chafu lako lilivyo? Utaolewa na babu wa miaka 90...
Wee Dada koma , unaleta domo chafu lako ukitegemea ukutane na msafi eeh. Endelea kuonesha your stupidity na ujifunze kutoparamia thread zisizokuhusu. Wala tusingefika huku👹👹
 
Back
Top Bottom