Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Nahitaji mchumba wa kiume, ukivutiwa na vigezo vyangu karibu

Yaani wanaume wa Dar wameshindwa kabisa kukutongoza mpaka unaanzisha usi humu ili na sisi wa mikoani tichangamkie fursa?
 
Hapo kwenye urefu basi nimeikosa 𝕤𝕚𝕗𝕒 𝕪𝕒 𝕦𝕞𝕥𝕒𝕜𝕒𝕪𝕖
 
Hello,
I hope you are all fine,poleni na Corona na tuzidi kuchukua tahadhari tu. back to the point nahitaji rafiki wa kiume ambaye ikipendeza tutaingia hatua zingine kama mahusiano na hata ndoa.

Huu ni wasifu wangu:
Jinsia- am a lady,miaka 28
Kimo- mrefu,rangi maji ya kunde.
Umbo-mwili wa kawaida si mnene wala mwembamba
M.status- single na sina mtoto
Dini- mkristo
Edc- Bachelor Degree
Kazi- nimeajiriwa
Makazi- Dar es salaam.

Sifa za rafiki nimtakaye:
Umri-awe na miaka 30 na kuendelea
Kimo- mrefu pia ukiwa na futi 6 na zaidi itakua vizuri
M.status-awe single
Dini- awe mkristo
Kazi- awe amejiajiri/kuajiriwa
Makazi- awe Dar es salaam au maeneo jirani

NB:Awe tayari kupima magonjwa,nipo tayari pia.

kwa mawasiliano zaidi karibu pm(kwa wenye hizo sifa please)

Weekend njema.
Ungekuwa na mtoto ningekufikiria. Sasa wewe unaona sifa kutokuwa na mtoto umri wote huo? Are you a problematic?
 
Mimi nilikuja hadi PM kwako hujajibu.
Na sifa unazotaka ninazo sasa sijajua unapimaje unaemtaka.
 
Back
Top Bottom