benjaminielia85
Member
- Sep 15, 2016
- 29
- 5
πππππππππAkaunti zako za bank zinasoma 000 ngapi
Jaman.. akaunt ya bank tenaAkaunti zako za bank zinasoma 000 ngapi
Ndio muhimu sanaJaman.. akaunt ya bank tena
Ukiona mtu anawaza mambo ya akaunti ujue s muolewaji huyo... mke bora ata huko hafikiliiNdio muhimu sana
Mke bora hafikirii pesa kwa manufaa yake na kizazi chake??Ukiona mtu anawaza mambo ya akaunti ujue s muolewaji huyo... mke bora ata huko hafikilii