Nahitaji Mchumba

Nahitaji Mchumba

Joined
Sep 15, 2016
Posts
29
Reaction score
5
Kwa jina ninaitwa BENJAMINI ELIAH ninahitaji mchumba ambaye atakuwa mke wangu sifa zake Awe mkristo, .Awe mweupe, Awe na umri kuanzia 18-25, Awe mvumilivu, urefu asizidi ft 5.2 Kwa taarifa zaidi na mawasiliano tuchat kwa Private Messages(PM)
 
Kila la kheri.

To accomplish much you must first lose everything..
 
Duuuh!!!! Mbona wachumba wamekuwa adimu sana miaka hii.... Hivi mnakuwa na utimamu kweli?????? All the best maana mh!!!!!!! ngumu kumeza...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ondoa masharti, aje yeyote zaidi ya 18 yrs awe na tabia nzuri, dini yeyote ndoa ya serikali. Hayo masharti labda ufinyange wa kwako. Kinachohitajika ni upendo wa dhati

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom