Nahitaji mchumba....

Nahitaji mchumba....

Si nakuona unamtolea miudenda.
We toka 2011 mchumba gani huyo anatafutwa?

Nakuambia hivi kwa vile nakujua sitaku kuona machozi yako
Me nimekutolea ww tu miudenda bado sijapata mwingine wa kumtolea[emoji17]
 
Mimi ni kijana mwenye miaka 25, mrefu wa wastani, mcheshi, mtanashati, mtu makini, mkristo na nina elimu ya chuo kikuu. Nahitaji binti mkristo, mcheshi, mweupe, asiwe mnene, miaka 18-23, kidato cha sita na kuendelea, akiwa mchaga ni added advantage.
 
Back
Top Bottom