Nahitaji Mchumba

Tikinya

Member
Joined
Apr 3, 2020
Posts
5
Reaction score
2
Mimi ni kijana wa miaka 27, Natafuta mchumba wa kike, awe mcha Mungu, Awe mwajibikaji, msafi na mwenye mapenzi ya kweli, awe tayari kuwa mke na kuwajibika kama mama ndani na nje ya familia.

Umri awe chini ya 27 sio mbaya, kabila lolote, Elimu yoyote, na kikubwa awe adabu na utii.

Kama upo tayari ni pm tuyajenge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmmmmh Haya ahsante mkuu, ila sijapenda hata kidogo Bora huo uzi ulifutwa tuu, afu hayo ni maneno ya kwenye Biblia kitabu cha "Wimbo ulio bora no 4" hivi ni nani huyo lakini?😬😬

sawaa, alikusifia kwa kufananisha hivoo, ila Hongera bibie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…