Mimi ni kijana wa miaka 27, Natafuta mchumba wa kike, awe mcha Mungu, Awe mwajibikaji, msafi na mwenye mapenzi ya kweli, awe tayari kuwa mke na kuwajibika kama mama ndani na nje ya familia.
Umri awe chini ya 27 sio mbaya, kabila lolote, Elimu yoyote, na kikubwa awe adabu na utii.
Kama upo tayari ni pm tuyajenge.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umri awe chini ya 27 sio mbaya, kabila lolote, Elimu yoyote, na kikubwa awe adabu na utii.
Kama upo tayari ni pm tuyajenge.
Sent using Jamii Forums mobile app