Nahitaji mchumba.

Amwit52

Member
Joined
Dec 18, 2011
Posts
59
Reaction score
7
Sitanii hata kidogo, nipo serious nahitaji mchumba.

awe mrembo/mzuri wa sura umbo tabia.
asiwe na zaidi ya miaka 28.
awe anajua kusoma na kuandika.
mrefu mweupe au maji ya kunde.
asiwe amewahi kuzaa.
awe anafanya kazi zake au za kuajiliwa.


Mimi ni mtanashati.
mrefu mweusi
ninafanya kazi kipato cha kati.
Nina mtoto.


Mwanamke mwenye sifa hizo awasiliane nami haraka. PM au hapa jfmura52@yahoo.com
 
duh..unaandika kama vile unataka kutoka nduki.. Tulia kaka..afu inaonekana wewe ni mkurya kutoka na lugha uliotumia ya kulazimisha..nataka...awe... Asiwe...
 
wewe una mtoto ila binti umtakae asiwe na mtoto unahic kuna usawa hapo?. hebu jaribu kuwa serious
 
mimi CEO bank fulani (sitaki kutoa details)
nina mtoto mmoja , Sitegemei mtu yeyeto (financially )
Nina nyumba tatu, Ninayoishi ipo maeneyo ya beach.
kwa bahati mbaya sipendelei magari ya Japan
only European & German cars, sipendi Gold kabisa sababu ya rangi
yangu ya ngozi, only diamond. do you still want my Email?
...
 
wewe una mtoto ila binti umtakae asiwe na mtoto unahic kuna usawa hapo?. hebu jaribu kuwa serious

nipo serious, nimesema kile ambacho ndicho kipo moyoni mwangu. Sitaki nimpokee mtoto wa mwenzangu kwa shingo upande.
 

Heeeheeehee naamini hawezi umba email kabisa!
 
baki na uselfish wako,wewe una mtoto ila yeye asiwe na mtoto?
 
Usikatishwe tamaa mwenye kuendana na vigezo ulivyo vitoa atajitokeza kama yupo.Suala la masharti magum,u hilo ni wewe unajua kwa nini umeamua kufanya hivyo huenda kuna yaliyojili ambayo nahakika akipatikana utajaribu kumweka wazi kwanini unapendelea kuwa hivyo.
 
nipo serious, nimesema kile ambacho ndicho kipo moyoni mwangu. Sitaki nimpokee mtoto wa mwenzangu kwa shingo upande.

Kwahiyo yeye awe radhi kumlea au kumpokea mtoto wako eeh? This is not fair!
 

Mula wewe mchoyo, yaani unaogopa mwenye mtoto kama wewe atamaliza chakula?
 


ahaaa umenikumbusha ule msemo usemao
yoyote angalie upande wake kupata kizuri embu fikiri mara mbili.....
 
Kawaida mura haachi asili yake ila wewe sio, mura huoa mke mwenye watoto na watoto huwarithi wakawa wake jumla.
 
huyu mura mshamba wa watoto tena wengine wanaleta baraka ndani kwa kuwalea tu hata kama si wako.akae tu na roho yake na Mungu atampa kulingana na roho yake.
 
Hii Dot Com kiboko! Mapenzi ya siku hizi kwa kujaza application forms! na interview!?!? Heri yetu sisi tuliozeeka sasa. enzi zetu mtoto unakutana nae dukani na mtaani. jioni kumtoa ndani unarusha jiwe juu ya bati au unamtuma dogo. If I just Could turn back the hands of time........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…