Nahitaji mchumba

nokaheistfx

Member
Joined
Jan 10, 2023
Posts
13
Reaction score
4
Nina miaka 28, nimemaliza advanced level, nina urefu(5' 3''), nina mwili wa kawaida, rangi yangu ni mweusi kidogo (sijui ndo maji kunde), nimejiajiri (-).

MWANAMKE
1. Urefu anizidi kidogo (5' 4'' hadi 5'7'').
2. Elimu awenayo yoyote, pia ajawe na hofu ya Mungu, awe Mkristo.
3. Awe na status yoyote katika ajira, asiwe Mchaga au Mpare.
4. Asiwe mweusi sana au mweupe sana, awe wa kawaida, awe na tako la kuvalia suruali (awe na curved shape, umbo la kibantu), asiwe na kalio la kajala.
5. Awe na umri kuanzia 18 mpaka 24.

MIMI NIPO DAR-ES-SALAAM<<

Akuje kwa PM na email.
 
duh haya kila la kheri kwenye msako wa mwanamke mzuri mzuri
 

Utapata humu wapo wengi wewe tu kuchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…