Nahitaji mchumba

Nahitaji mchumba

blessing 18

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
5
Reaction score
0
Jamani mwenzenu natafuta mchumba ambaye yuko serious, nimefanikiwa kusoma na nina kazi nzuri tatizo tu ni mwanza mwaminifu na umri unazidi kwenda
 
Wewe ni kaka au dada?
Umri?
Uzito?
Muonekano?
Sura?
Elimu?
Dini?
Kabila?
Kinachokushughulisha?
Makazi?
Hobbies?
Vigezo kwa mwenzi?
 
Jamani mwenzenu natafuta mchumba ambaye yuko serious, nimefanikiwa kusoma na nina kazi nzuri tatizo tu ni mwanza mwaminifu na umri unazidi kwenda

wewe ni mwanaume unatafuta wanaume wenzako wakuoe? au ni mwanamke unatafuta majike menzako yakuoe? be specific bana,umesoma halafu unaleta uchekechea hapa?
 
i see, kwa hiyo grilling inabidi huyo dada/kaka akajipange upya
 
Wakati wenzio wanalia kwenye msiba wewe unataka ndoa. miafrika mkoje.
 
Jamani mwenzenu natafuta mchumba ambaye yuko serious, nimefanikiwa kusoma na nina kazi nzuri tatizo tu ni mwanza mwaminifu na umri unazidi kwenda

Wewe ni kaka au dada?
Umri?
Uzito?
Muonekano?
Sura?
Elimu?
Dini?
Kabila?
Kinachokushughulisha?
Makazi?
Hobbies?
Vigezo kwa mwenzi?

watu wanashidwa kujieleza vizuri,bado wakikosa wanalaumu,ni ajabu
 
Wewe ni kaka au dada?
Umri?
Uzito?
Muonekano?
Sura?
Elimu?
Dini?
Kabila?
Kinachokushughulisha?
Makazi?
Hobbies?
Vigezo kwa mwenzi?
Hapo kwenye red ....mweh!
 
Hivi barua ya maombi ya kazi inaandikwaje vile??
 
Hapo kwenye red ....mweh!
Hivi uzito una nini? Maana watu hua wanakua wagumu kweli kusema.

Shughuli nayo muhimu kufahamu. . . ili kama ni maisha ya kubangaiza mtu ujiandae kabisa.
 
watu wanashidwa kujieleza vizuri,bado wakikosa wanalaumu,ni ajabu

Na hilo ndio tatizo kubwa kwa hawa kizazi kipya, wao wanafikiri kusoma na kazi ndio vigezo vya msingi. Sasa kama hata yeye mwenyewe hajielewi ataweza kweli kumfaham huyo anaemtaka?? Ndio maana wanaishia ''kumegwa'' na ''kuachwa'' na wengine siku hizi wanawaning'iniza tu!
 
Hivi uzito una nini? Maana watu hua wanakua wagumu kweli kusema.

Shughuli nayo muhimu kufahamu. . . ili kama ni maisha ya kubangaiza mtu ujiandae kabisa.
Unaogopa kubeba super heavy weight eeeh?
We umemuuliza anashughulishwa na nini, tata hiyo tungo mamy
 
By Lizzy Wewe ni kaka au dada?
Umri?
Uzito?
Muonekano?
Sura?
Elimu?
Dini?
Kabila?
Kinachokushughulisha?
Makazi?
Hobbies?
Vigezo kwa mwenzi

kweli watu munauwezo vigezo hivyo vigezo gani?
 
Back
Top Bottom