blessing 18
Member
- Jan 17, 2012
- 5
- 0
Jamani mwenzenu natafuta mchumba ambaye yuko serious, nimefanikiwa kusoma na nina kazi nzuri tatizo tu ni mwanza mwaminifu na umri unazidi kwenda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamani mwenzenu natafuta mchumba ambaye yuko serious, nimefanikiwa kusoma na nina kazi nzuri tatizo tu ni mwanza mwaminifu na umri unazidi kwenda
Jamani mwenzenu natafuta mchumba ambaye yuko serious, nimefanikiwa kusoma na nina kazi nzuri tatizo tu ni mwanza mwaminifu na umri unazidi kwenda
Wewe ni kaka au dada?
Umri?
Uzito?
Muonekano?
Sura?
Elimu?
Dini?
Kabila?
Kinachokushughulisha?
Makazi?
Hobbies?
Vigezo kwa mwenzi?
unataka kuimiliki Mwanza? How?
Hapo kwenye red ....mweh!Wewe ni kaka au dada?
Umri?
Uzito?
Muonekano?
Sura?
Elimu?
Dini?
Kabila?
Kinachokushughulisha?
Makazi?
Hobbies?
Vigezo kwa mwenzi?
Alimaanisha MWENZA, acha kujidai huelewi...kama vupi we mtumie PM tu....lol
si unajua yule bado anazingua?
Nakuwa napoteza netiweki
Hivi uzito una nini? Maana watu hua wanakua wagumu kweli kusema.Hapo kwenye red ....mweh!
watu wanashidwa kujieleza vizuri,bado wakikosa wanalaumu,ni ajabu
Unaogopa kubeba super heavy weight eeeh?Hivi uzito una nini? Maana watu hua wanakua wagumu kweli kusema.
Shughuli nayo muhimu kufahamu. . . ili kama ni maisha ya kubangaiza mtu ujiandae kabisa.