Nahitaji mdada aje machinjioni Kibaha tuje nyama.

Nahitaji mdada aje machinjioni Kibaha tuje nyama.

Tamati

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2017
Posts
1,085
Reaction score
1,960
Wale wa kibaha nadhani mnajua kila jumamosi ni siku ya kula nyama choma hapa machinjioni.

Nahitaji mdada aje muda huu hapa machinjioni tuke tule nyama, tupige story kadhaa, na tufurahi pamoja.

Akiwa wa umri wa 20-30 itapendeza zaidi.

Nafasi ni 1, karibu sana mdada utakayowahi hii fursa ya leo.
 
Machinjioni=Guest/Lodge
Nyama=Kumpiga miti


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Jamaa unataka mdada aje machinjioni umkatie pande la nyama sio...umetisha
 
Ale nyama sasa hivi sio[emoji2][emoji2][emoji2] na wewe umle baadae[emoji23][emoji23][emoji23]


Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana mkuu, ni katika furaha za siku hii hasa haya maeneo huwa kuna nyama nyingi zinauzwa, kula pekee yangu haileti furaha kama ambayo ningekuwa na kampani ya mtu kuanzia mmoja(mimi niwe wa pili)
 
Back
Top Bottom