Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
Hivi kuna wadada wanadanganyika kirahisi namna hii kwenye karne hii?Wale wa kibaha nadhani mnajua kila jumamosi ni siku ya kula nyama choma hapa machinjioni.
Nahitaji mdada aje muda huu hapa machinjioni tuke tule nyama, tupige story kadhaa, na tufurahi pamoja.
Akiwa wa umri wa 20-30 itapendeza zaidi.
Nafasi ni 1, karibu sana mdada utakayowahi hii fursa ya leo.
Sent using Jamii Forums mobile app