Nahitaji mdada aje machinjioni Kibaha tuje nyama.

Nahitaji mdada aje machinjioni Kibaha tuje nyama.

Wale wa kibaha nadhani mnajua kila jumamosi ni siku ya kula nyama choma hapa machinjioni.

Nahitaji mdada aje muda huu hapa machinjioni tuke tule nyama, tupige story kadhaa, na tufurahi pamoja.

Akiwa wa umri wa 20-30 itapendeza zaidi.

Nafasi ni 1, karibu sana mdada utakayowahi hii fursa ya leo.
Hivi kuna wadada wanadanganyika kirahisi namna hii kwenye karne hii?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Piga picha ya nyama choma hizo maybe watavutiwa zaidi kuja

Nanaa
Ngoja kwanza nipate ruhusa ya wahusika, ndio itapendeza zaidi na bila shaka nitavutia wateja pia
 
Back
Top Bottom