Tukimaliza kula kila mtu anafuata njia yake mkuu. Hapa mambo hayawezi kunoga kama upo pekee yako, yanahitaji kampaniUnataka mwisho wa siku "UMCHINJE"[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani vigezo ni vipi mbona hujawekaKama unakidhi vigezo karibu sana kabla halijachowea
Hapana mkuu, ni katika furaha za siku hii hasa haya maeneo huwa kuna nyama nyingi zinauzwa, kula pekee yangu haileti furaha kama ambayo ningekuwa na kampani ya mtu kuanzia mmoja(mimi niwe wa pili)Ale nyama sasa hivi sio[emoji2][emoji2][emoji2] na wewe umle baadae[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasubiri hapa mkuu
Tunasubiria na wewe utoe fursa maana hatuwezi kwenda wote huko[emoji12]Wadada fursa hiyo..sio mnalialia tu humu
Nanaa