Nahitaji mimba isi endelee kutunga

Joined
Dec 27, 2014
Posts
38
Reaction score
3
Doctor nisaidie nime fanya mapenz na mpenz wangu kwa bahati mbaya kondom ime chanika na nilikuwa tayar nime mwaga ndani naitaji njia yoyote ile kuzuiya mimba kukua yani isi tunge kwani hatupo tayari kwa mtoto naw asante matusi si hitaji
 
hahaha! ulivowahi kujitetea...
kama ni ndani ya 24hours tafuta dawa zinaitwa PlanB au Morning After pills, zinapatikana pharmacy nyingi tu na hazihitaji complications nyingi mtu yeyote ananunua... we mwanaume ongea na huyo mdada inamaana wote hamjui option zote kabla hamjaenda kuvunja amri za Mungu, kama ulikaa ukasubiri siku zimepita basi umeumia hizo pills hazitofanya kazi hata usijaribu kum-overdose utamuua...
 
Yaan wengine tunazitafuta izo mimba wengine mnatafuta njia ya kuzuia. Nenda pharmacy waelezee utasaidiwa au kituo chochote cha afya karibu nawe
 
kule MMU umesema ni binti wa form five... naanza kuhisi ni stori ya kutunga hii
 
Ila na wewe mtoa mada hujielezei vizur mmefanya lini na umeshapita mda gan nakama mlijua yupo siku hatar kwann msingevumilia tu jaman
 
Siku ngapi zimepita? zisiwe zaidi ya 5dys! After morning pills inafaa na kuna hivi vidonge vya uzazi wa mpngo lain za juu ni cream na lain ya chini ni nyeupe sasa nunua ameze vidonge vi3 na after 6hrs vi3 tena. ANGALIZO isiwe zaidi ya 5dys.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…