Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
naomba unielekeze vizur maana mm si mwenyeji sanaaCheki ilipokuwa stand ya daladala jirani na Holyland Pharmacy
Nimetoka agakani pale leo nimepimaa ssss jamaa wananiambia miwani zipo kuanzia 50k mpaka 400k kutokana na frameNenda kapime macho kabla hujavaa miwani na kumbuka macho yanatofautiana Sana ..ukienda kupima Rudi hapa ulizia frame na kioo, easy sana ndugu yangu!
Pole Sana, Nina shida kubwa ya macho na Nina vaa Sana miwani. Sichague sometimes hata bafuni najikuta nayo. Mungu atusaidie
roMiwan ni frame tu unayotaka wewe ungekua dar ningekuambia uje uchague tu glass ndo ukapime ununue frame kuna mshkaj wangu ndo dili zake
Nilipokuelekeza wanapima macho na kuuza miwani, jirani tu na Agha Khan. Old Stand ya daladala mjinimoro hapatikani?
ro
Habari mkuu.Miwan ni frame tu unayotaka wewe ungekua dar ningekuambia uje uchague tu glass ndo ukapime ununue frame kuna mshkaj wangu ndo dili zake
Miwan ni frame tu unayotaka wewe ungekua dar ningekuambia uje uchague tu glass ndo ukapime ununue frame kuna mshkaj wangu ndo dili zake
kmmmmk, hii ya 400k unapatiwa na demu kabisa au ?Nimetoka agakani pale leo nimepimaa ssss jamaa wananiambia miwani zipo kuanzia 50k mpaka 400k kutokana na frame
Ni namna unataka tu na viwango vyako, hyo ya 400k mbona kawaida Sana, zipo mpaka 2m, nakuendelea. Na ukumbuke tu halina demu wa 400k.kmmmmk, hii ya 400k unapatiwa na demu kabisa au ?
ahaa, basi itakua wanakupa na mke kabisaNi namna unataka tu na viwango vyako, hyo ya 400k mbona kawaida Sana, zipo mpaka 2m, nakuendelea. Na ukumbuke tu halina demu wa 400k.
Ndo bei iyoo sasakmmmmk, hii ya 400k unapatiwa na demu kabisa au ?
Ndo bei zake kwasababu kuvaa miwani kutokana na ugonjwa pia miwani yenye fremu nzuri huleta muonekano uliobora piaNimetoka agakani pale leo nimepimaa ssss jamaa wananiambia miwani zipo kuanzia 50k mpaka 400k kutokana na frame
Wewe Acha uongo kbsKuyavumilia macho kwa kutokutaka kuvaa miwani ni kuongeza tatizo,
Kuvaa Miwani sio dawa ya macho kupona bali ni kuyalinda yasizidi kupoteza nuru,
Kapime macho uvae miwani faster,
Macho ni kiungo muhimu sana,tafuta miwani bora hasa lenzi zake usifuate urahisi wa bei tu,
Good luck.
Ww ukihitj miwan nichek Tu bei ndogo Tu chamuhimu uwe na vipimo namba 0776371092Habarini wote.
Mimi ni muhanga wa macho nimeyavumilia kwa muda mrefu lakini naona ni too much. Siwezi focus vitu vya mbalii hata karibu hasa maandishi ziwezi somaa.
Naitaji miwani ya bei nafuu nipo Morogoro
Asanteni