- Thread starter
- #281
anaweza asimkane kuepusha kumuabisha, unajua Mrembo by Nature ni mwenye huruma na kuheshimu watu eeh?
ha ha ha ha...endelea kumwambia amkane..au mwambie achague moja, kama hutakuwa B wewe.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anaweza asimkane kuepusha kumuabisha, unajua Mrembo by Nature ni mwenye huruma na kuheshimu watu eeh?
Whaaaaaaooooooohhh ndio umetokelezea hivi? jaman na unavyonukia sasa mie hoiiiii, eti lakini si hatufanyi chochote eehh??
ha ha ha ha...endelea kumwambia amkane..au mwambie achague moja, kama hutakuwa B wewe.
eeh! hatufanyi kitu ila tutafanya vitu bora cha kwanza tupitie pale sehemu kupata upako kabla ili kuepuka mbinu chafu za serikali
kwanini tubishane mkuu? kwani kukanwa ni dhambi? akikuna mtu unakufa>
Mrembo by Nature ondosha huu utata kwa mkuu Sandeni hapa
hamfanyi chochote! safi sana..kumbe wewe ni wakutoka nae tu, wakumfanya ni wengine? usikubali mkuu..
atoe utata..
mbona mrembo wako ame expose? kwamba hamfanyi..au ni utani tu
akija atarekebisha mambo hapa, kama atanigaragaza ni kawaida kama atagaragazwa mtu itakua kawaida pia.... mie siogopwi kutoswa.. alafu umenionea wapi huyu
ha ha ha! mimate ishaanza kukutoka
eeh! hatufanyi kitu ila tutafanya vitu bora cha kwanza tupitie pale sehemu kupata upako kabla ili kuepuka mbinu chafu za serikali
sijamwona..afu hajaacha utoto wakunyonya vidole?
Basi sawa my dia, tutatoka alafu nitatoa msimamo wangu nitakaporudi, kwa sasa sina tamko lolote, mwenye subira asubiri CC Sandeni na figganigga
akija atarekebisha mambo hapa, kama atanigaragaza ni kawaida kama atagaragazwa mtu itakua kawaida pia.... mie siogopwi kutoswa.. alafu umenionea wapi huyu
si uanjua tena yeye ameuliza ila hajasema .... ujue j.mosi na j.pili sio siku ya kufanya. Siku ya kufanya ni J.3 , J.4 , J.5 mida ya asubuhi na mchana
ha ha ha ha..we mkali kuliko