Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Hhaha kwani kumbe Passion Lady ni mke wa mtu?ni wa nani vile
hahahaha..... Mrembo by Nature mi miss u sana
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hhaha kwani kumbe Passion Lady ni mke wa mtu?ni wa nani vile
hahahaha..... Mrembo by Nature mi miss u sana
Missn u tooo, shkamoo
marhabaa...umefundwa ukafundika mtoto wa kike...nini kujipa tabu na husu sijui nani na maswali yake hapa?
Labda uitaje hyo biashara huenda tukishaijua tutamshawishi
Mwambie kabisa unataka Darisalam au Kibaha ngapi?alafu amepotea isijekuwa ndio ametoroka?@Sandeni
Unataka kuwa mdhamini wa huu mjadala? mwenzako aamesema atalipa shinyanga 150, sasa sijui wewe utaongeza ngapi.....au umuulize Passion Lady akuelezee zaidi
Hhaha kwani kumbe Passion Lady ni mke wa mtu?ni wa nani vile
makubwa mana hata sijaona cha maana kilichozungumzwa mpaka sasa,
napita tu samahani
Mwambie kabisa unataka Darisalam au Kibaha ngapi?alafu amepotea isijekuwa ndio ametoroka?@Sandeni
Nimekataa kata kata, hee kutwa nzima niko hapa kwenye mjadala nalipwa 150??
pita mwayego
na 50 zako kuelewa
hapa ni ngumu sana!!
una mambo wewe!
marhabaa...umefundwa ukafundika mtoto wa kike...nini kujipa tabu na husu sijui nani na maswali yake hapa?
umerudi?!!
makubwa mana hata sijaona cha maana kilichozungumzwa mpaka sasa,
napita tu samahani
kijana vipi? mbona hujagonga mlango...
Mrembo by Nature nilipo kwambia huyu Sandeni hile ilikuwa post yake ya mwisho na huto muona tena. wake za watu ni sumu kabisa.
haya niambie pazia linagongwaje maana hakuna mlango hapo...yani nigonge pazia? must be crazy
umenionea Mrembo by Nature huku ndani?