Nahitaji mke aliye tayari kwa ndoa halali

MWANGAGA

New Member
Joined
May 1, 2021
Posts
1
Reaction score
3
Mimi ni Kijana Me
Umri 32
Rangi: Mweupe wastan
Mwajiriwa wa serikalini pia nimejiajiri
Sijawahi oa wala sina mtoto
Dini: islam
Elimu: Bachelor Degree
Height: 5.7
Umbo : wastan si mnene wala mwembama sana

Mke anayehitajika
Umri:22-29
Itapendeza zaidi kama atakuwa mwembamba wastan
Rangi: Mweupe au maji ya kunde
Elimu: Cheti na kuendelea
Awe mwenye haiba ya upole
Akiwa mrembo itafaa sana

Kwa mwenye mdogo, mtoto, ndugu jamaa anayeona itapendeza basi InshaAllah kwa kuwa ndo malengo kuanzia sasa nlishaweka nia kuanzia kipindi hiki. awe serious. PM
 
mavigezo makali kwa muislam haya
 
Kila la kheri
 
Nikuuzie namba ya sholii fulani hivi ticha wangu? Hajaolewa huenda akawa naye anatafuta maana siku zinakata!
 
Dah! mwanangu hadi umeamua kuchapisha😁 it mean kwamba kila kona uliyopita kwa 30yrs hujabahatika kuonana na anaefaa kuwa mke? maana utayari wa mwanamke upo kwa mwanaume.
 
Amna namkomalia anikubali
 
Mimi ni Kijana Me
Umri 32
Rangi: Mweupe wastan
Mwajiriwa wa serikalini pia nimejiajiri
Sijawahi oa wala sina mtoto
Dini: islam
Elimu: Bachelor Degree
Height: 5.7
Umbo : wastan si mnene wala mwembama sana

Mke anayehitajika
Umri:22-29
Itapendeza zaidi kama atakuwa mwembamba wastan
Rangi: Mweupe au maji ya kunde
Elimu: Cheti na kuendelea
Awe mwenye haiba ya upole
Akiwa mrembo itafaa sana

Kwa mwenye mdogo, mtoto, ndugu jamaa anayeona itapendeza basi InshaAllah kwa kuwa ndo malengo kuanzia sasa nlishaweka nia kuanzia kipindi hiki. awe serious. PM
Unaweza kukuta mtoa mada Hana rinda hata moja!
 
Back
Top Bottom