Nahitaji mke ambaye ni Daktari au awe na Ph.D

Keneth12

Senior Member
Joined
Oct 12, 2015
Posts
114
Reaction score
162
Nahitaji mke awe Daktari wa tiba au awe na PhD. umri wake uwe kuanzia miaka 28-39 mweupe au maji ya kunde mrefu asiwe mfupi. umri wangu ni 38, ni mweupe. ambaye atakuwa interested aniandikie private message.

PS. tuwe wastaarabu kwenye kujibu ambaye sio mhusika asi comment tafadhali
 
Nahitaji mke awe Daktari au awe na PhD. umri wake uwe kuanzia miaka 28-39 mweupe au maji ya kunde. umri wangu ni 38, ni mweupe. ambaye atakuwa interested aniandikie private message.

kwani wewe ni PROF. nani?
 
Uliwasomesha wewe hao unaotaka wawe ma Dr.?
 
Nahitaji mke awe Daktari au awe na PhD. umri wake uwe kuanzia miaka 28-39 mweupe au maji ya kunde. umri wangu ni 38, ni mweupe. ambaye atakuwa interested aniandikie private message.

PS. tuwe wastaarabu kwenye kujibu ambaye sio mhusika asi comment tafadhali

Mbona una complicate, wasomi bhana. halafu unataka kuoa msomi mwenzio
haya bhana, tutakusikiaga mbele ya safari.
 
Nahitaji mke awe Daktari au awe na PhD. umri wake uwe kuanzia miaka 28-39 mweupe au maji ya kunde. umri wangu ni 38, ni mweupe. ambaye atakuwa interested aniandikie private message.

PS. tuwe wastaarabu kwenye kujibu ambaye sio mhusika asi comment tafadhali

Wanawake PhD miaka 28 - 39 watakuwa wachache sana, ni umri wa kuzaa huo sio wa kufukuzana na thesis. Tafuta tu Daktari wa tiba, watakuwa wengi tu available!
 
Nahitaji mke awe Daktari wa tiba au awe na PhD. umri wake uwe kuanzia miaka 28-39 mweupe au maji ya kunde mrefu asiwe mfupi. umri wangu ni 38, ni mweupe. ambaye atakuwa interested aniandikie private message.

PS. tuwe wastaarabu kwenye kujibu ambaye sio mhusika asi comment tafadhali

Mkuu re-profeseri naona kama hapo umechanganya madesa flani.
 
piga hii no 06i9001000000 ataitika bwee mwenye Phd amesomea urusi ...
 
Unataka mwenye PhD kama ya Magufuli? Hapo mkiamua kupiga kimombo hata watoto wenu wa kuwazaa watavunjika mbavu kwa kucheka
 
Nahitaji mke awe Daktari wa tiba au awe na PhD. umri wake uwe kuanzia miaka 28-39 mweupe au maji ya kunde mrefu asiwe mfupi. umri wangu ni 38, ni mweupe. ambaye atakuwa interested aniandikie private message.

PS. tuwe wastaarabu kwenye kujibu ambaye sio mhusika asi comment tafadhali

Hv mkuu unaelewa maana ya forum??? km hutaki kujibiwa na wasiohusika ina maana wahusika unawajua kwa nn usingewatumia private msg??? Nadhan kuna baadh yetu tunabakwa na hiz social networks,unamkuta mtu ana ugomv na mtu fulan anaweka maneno ya shombo kwny status yake sa inawahusu nn wengne???
Ushauri: Mke mwny busara mtu hupewa na bwana,hao madokta unaotafuta unataka kufungua chuo???
 
Wewe oa ata mwenye degree si utamsomesha wewe mpaka awe na hiyo PhD wewe si unajua kusoma ni gharama unataka usomeshewe si ulodi lofa huo
 
Nahitaji mke awe Daktari wa tiba au awe na PhD. umri wake uwe kuanzia miaka 28-39 mweupe au maji ya kunde mrefu asiwe mfupi. umri wangu ni 38, ni mweupe. ambaye atakuwa interested aniandikie private message.

PS. tuwe wastaarabu kwenye kujibu ambaye sio mhusika asi comment tafadhali

subiri itafika miaka ad 48 endelea kuchagua
 
Amana kuna dada ni daktari hajaolewa na ni mcha Mungu
Wahi haraka kabla hajawahiwa.
Jina lake M.K
 
Hv mkuu unaelewa maana ya forum??? km hutaki kujibiwa na wasiohusika ina maana wahusika unawajua kwa nn usingewatumia private msg??? Nadhan kuna baadh yetu tunabakwa na hiz social networks,unamkuta mtu ana ugomv na mtu fulan anaweka maneno ya shombo kwny status yake sa inawahusu nn wengne???
Ushauri: Mke mwny busara mtu hupewa na bwana,hao madokta unaotafuta unataka kufungua chuo???
Hahaaa et kufungua chuo
 
Ahaaa huu uzi umenifurahisha, wanaume wa jf mnachamba sana kuwa wanawake wanaotafuta wanaume wana vigezo vingi watazeekea nyumbani, sasa vip huyu mwenzenu?

Shikamoo prof.
 
Back
Top Bottom