Nahitaji Mke Awe Anakaa Mtwara

Nahitaji Mke Awe Anakaa Mtwara

Joined
Sep 15, 2016
Posts
29
Reaction score
5
Mimi ni kijana wa miaka 31 ni mkristo nakaa mtwara vjjn nahitaji mke awe anakaa mtwara awe mkristo umri kuanzia miaka 18-28 kwa mawasiliano zaidi karibuni Pm
 
Mkuu huko si mnaoana waume kwa waume na mnakaa miezi minne bila kutambuana?
 
Hata akiwa sio mzaliwa wa huko "Ntwala" uko tayari? kwa mfano akiwa mchaga but anaishi Ntwala uko tayari kwa yote na kumpenda alivyo? (mind you wale hawana mambo ya unyago nakufundishwa...)
 
Ndio nipo tayari kumuoa hata kama si mzaliwa wa mtwara ila awe anaishi mtwara
 
Majirani wote wameolewa hapo unapoishi? maana wao ndo uhakika zaid wanaishi ntwara
 
Mkuu huko si mnaoana waume kwa waume na mnakaa miezi minne bila kutambuana?
Punguza lugha za kuudhi kwa wenzio... Yeye akikutusi kwa namna hiyo utaridhika? Wengine tunayo bahati ya kuzunguka mikoa yote ya Tanzania, unaishi mkoa gani ulio na maisha tofauti na mikoa mingine? Acha ushamba
 
Vipi mkuu ,uko Mtwara.
 
Acha uzwazwa hivi mnashindwa kutafuta wanawake huko mlipo mnaangaika jf ambapo watu wenyewe hamuonani hata, aise ebu kuweni aware na mambo madogo , we pambana na hali yako, kwanza huko si mnaoana wanaume kwa wanaume
 
Watu wanapata wenzawao humu humu pia
 
Back
Top Bottom