UshauriHabari zenu wana JamiiForums naitaji mke alie na utulivu wa nafsi nasio mwenye tamaa awe MUSLIM na pia awe bado hajazaa umri awe 18-32
Awe mweusi au mweupe pia awe na ubo zuri (shape) mimi ni mweupe mrefu kiasi na umri wangu 33 ni mfanya biashara.
Kama upo serious karibu PM au ni email muqrim01@gmail.com asante
Uko sahihi sana mkuu...Ushauri
Hao wa 18-23 watakupasua, bado hawajaona mengi
Bado wanatamani kuonja kila ladha hata kama hawasemiUko sahihi sana mkuu...
Bado wanatamani kuonja kila ladha hata kama hawasemiUko sahihi sana mkuu...
Mimi mkiristo nasali kwa mwamposi ahidi hutonichezea?Dini imenikosesha mume[emoji19]
Tutayajenga usijali huo mtindi umenipa hamasa[emoji39]Dini imenikosesha mume[emoji19]
Muda mfupi wa kuzaa ikiwa utahitaji watoto wanne na zaidiTafuta wa 30's
Kama hajajitokeza hata mmoja mpaka sasa kuna shida mahali.. Tafuta tiba ya mvuto asapJf family nna mashaka napo wanawake wajitokeze bhas
Sawa kaka ntakuona ,unipe codes muhimuKama hajajitokeza hata mmoja mpaka sasa kuna shida mahali.. Tafuta tiba ya mvuto asap
Wakitokea mapacha je mara 2 si wanatosha? Ila hata hao mmoja mmoja wanaweza achana gap la miaka miwili na ukafanikiwa freshMuda mfupi wa kuzaa ikiwa utahitaji watoto wanne na zaidi