Nahitaji mke, awe na umri wa miaka 18-32

Nahitaji mke, awe na umri wa miaka 18-32

Hamna mume hapo.

Hivyo vigezo vya shepu, inaonyesha akija kuzaa akatutumka na ndoa ndo imeishia hapo, au akapatwa na changamoto itakayo mpelekea kuharibika shepu. Mambo ndo mwishnei.
 
We kiazi unafikiri Kila mtu mzembe na mlafi kama wewe..... Unaongea utadhani unamjua mtu.... Em kakojoe ulale uko
Ndivyo mlivyo wanawake wengi,mnapenda vitamtam na ubwanyenye,unakua na shepu Kama kiazi kitamu!
 
Punguzeni ulafi na uzembe,kula hovyo mazoezi hakuna,kwenye sofa kutwa na rimoti
Niko pamoja na wewe @inamnakusweke alafu kuoa mwanamke unae mtaka kwa sifa zako kwani dhambi hapana hayo mengine ya ajar shida za hapa na pale zipo tu ila kwakuanzia lazima niwe na mwanamke moyo na macho vitafurahi asitufosi 🤣
 
Back
Top Bottom