Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani wewe huu uzi ni wako?
Ukishapost uzi humu JF tayari mali ya Moderator ndio maana huwezi kuufuta. So tulia bwana harusi mtarajiwa.
atulize mshono.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli wewe troublemaker [emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Sina vigezo boss[emoji3526].atulize mshono.
uende pm basi mumsaidie mwenzenu domo zege.
sawa chibonge.Sina vigezo boss[emoji3526].
Sio Domo zege,, yawezekana yeye ameamua kutafuta kwa style hii.
Mke anapatikana popote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]sawa chibonge.
nikupe siri ya kuwa chibonge?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
I wish ningekuwa chibonge... Ila Hadi Sasa juhudi zimegonga mwamba.
acha usumbufu mkuu,mimi sio domo zege ,hakuna formula katika mapenzi.vp una dadaako mwenye vigezo??atulize mshono.
uende pm basi mumsaidie mwenzenu domo zege.
ninae yupo humu humu.acha usumbufu mkuu,mimi sio domo zege ,hakuna formula katika mapenzi.vp una dadaako mwenye vigezo??
muite nimpe staraninae yupo humu humu.
nikuitie.
Cc Katoto kadhurimuite nimpe stara
Nipenikupe siri ya kuwa chibonge?
njoo pembeniNipe
Uachinjoo pembeni
nataka nimuelekeze ile dawa ya kuongeza unene na urefu kama unakumbuka.Uachi
Mbona Mimi hujanielekeza yakuongeza unene?nataka nimuelewkeze ile dawa ya kuongeza unene na urefu kama unakumbuka.
Wewe nakupenda hivyo hivyo ulivyo mpenzi wangu. Sitaki uwe chibonge.Mbona Mimi hujanielekeza yakuongeza unene?
π ππWewe nakupenda hivyo hivyo ulivyo mpenzi wangu. Sitaki uwe chibonge.
Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mkristo nimeajiriwa serikalini elimu yangu ni degree moja
Natafuta mke umri kuanzia miaka 17 mwisho 25. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipokua msabato
wa muislam awe tayari kufunga ndoa ya kikristo mambo mengine tutayajenga wawili
Asiwe na mtoto, elimu yoyote ile tutaendelezana mbele ya safari. Asiwe kajichubua wala tattoo ya aina yoyote ile mwilini.
Awe mcha Mungu kiasi ila asizidishe sana (asiwe mlokole tafadhali.) akipatikana Dar au Tanga itapendeza
Sifa zifuatazo ni added advantage ingawa sio lazima
1. Kipato wastani(hata kujimudu angalau vocha tu)
2. Elimu angalau
3. Smart,msafi,humble
kwa mdada aliye tayari karibu PM
samaki mkunje angali m'bichi ,miaka 17 biologically amepevuka so ni umri mzuri kumuandaa psychologically ili muendane