Nahitaji mke bora, kuanzia miaka 17 hadi 25

Nahitaji mke bora, kuanzia miaka 17 hadi 25

Mimi ni kijana wa miaka 30, ni mkristo nimeajiriwa serikalini elimu yangu ni degree moja

Natafuta mke umri kuanzia miaka 17 mwisho 25. Awe mkristo wa dhehebu lolote isipokua msabato

wa muislam awe tayari kufunga ndoa ya kikristo mambo mengine tutayajenga wawili

Asiwe na mtoto, elimu yoyote ile tutaendelezana mbele ya safari. Asiwe kajichubua wala tattoo ya aina yoyote ile mwilini.

Awe mcha Mungu kiasi ila asizidishe sana (asiwe mlokole tafadhali.) akipatikana Dar au Tanga itapendeza

Sifa zifuatazo ni added advantage ingawa sio lazima
1. Kipato wastani(hata kujimudu angalau vocha tu)
2. Elimu angalau
3. Smart,msafi,humble

kwa mdada aliye tayari karibu PM

Miaka 17 sheria inasema ni mtoto. Utafungwa bure.
 
17 and 30 the gap is too way biggg.

Remember at 30 you are ready to settle for life, at 17 she is starting her youth life.

A fish and a dove can fall in love but never live together, think big.
samaki mkunje angali m'bichi ,miaka 17 biologically amepevuka so ni umri mzuri kumuandaa psychologically ili muendane
 
Back
Top Bottom