Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mm n mbwanaume umri 32. Nahitaji msichana ambaye atakuwa mke.awe na hekima,mcha Mungu na mwaminifu. Awe na umri kuanzia 25 to 30. Elimu at least form 6. Nipo serious, aliye tayari kwa mazungumzo aniPM as soon as possible.
charminglady said:yaaalaaah.... Sie wa darasa la saba nani atatuoa????? :sad:
only in need of faraja!!
mke mwema hapati kani jf kila raheli katika mchakato wako huo
mke mwema hapati kani jf kila raheli katika mchakato wako huo