Nahitaji mke/ mchumba anaehitaji kuishi katika ndoa ya ukristo

Nahitaji mke/ mchumba anaehitaji kuishi katika ndoa ya ukristo

DZUDZUKU

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2012
Posts
3,909
Reaction score
2,115
Salam, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, ninahitaji mke/mchumba alie siriazi na mahusiano.

Sifa zangu.
Mimi ni mkristo dhehebu la KKKT.
Nina watoto 4 kila mmoja na mama yake.
Nina kazi ya kuajiriwa na serikali.
Nina urefu wa futi sita, ni mweusi na nina mwili kiasi.

Sifa za ninaye mhitaji.
Rangi yeyote.
Awe mkristo.
Urefu wowote ila isiwe chini ya futi tano na nusu.
Umri uwe kuanzia miaka 18 hadi 26.
Awe na mtoto au asiye na mtoto.
Awe siriazi na maisha(asiwe na akili za kitoto).

Mengine karibu pm.

Karibu tujenge maisha.
 
Watoto wanne kila mmoja na mamake,,ataweza kweli kupambana nao,,mana wakiamua kuungana hapo,,atajuta
Watoto ni wadogo sana, akilea mwenyewe anauwezo mkubwa wa kuwamudu.
 
Huyo atakayekuja kulea hao watoto wa4 ana kipaji tosha hapana aisee kila mtu na kipaji chake
Kila mtu na mahitaji yake.
Na usicho kipenda wewe wengine wanakipenda, usicho weza kuvumilia wengine wanaweza.
 
Back
Top Bottom