Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sanaaa aje alee 4 kidsTena leo wikiendi........!
Utulivu ninao, na sijawahi kuishi nao, maisha ya ujana ni maji ya moto.Huna utulivu naye utambwaga tu kama hao wanne teua mmoja kati yao alee watoto wewe ni muharibifu wanawake wote wanafanana mkuu
Duuu! Watoto wanne kila mtoto na Mama yake!Salam, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 29, ninahitaji mke/mchumba alie siriazi na mahusiano.
Sifa zangu.
Mimi ni mkristo dhehebu la KKKT.
Nina watoto 4 kila mmoja na mama yake.
Nina kazi ya kuajiriwa na serikali.
Nina urefu wa futi sita, ni mweusi na nina mwili kiasi.
Sifa za ninaye mhitaji.
Rangi yeyote.
Awe mkristo.
Urefu wowote ila isiwe chini ya futi tano na nusu.
Umri uwe kuanzia miaka 18 hadi 26.
Awe na mtoto au asiye na mtoto.
Awe siriazi na maisha(asiwe na akili za kitoto).
Mengine karibu pm.
Karibu tujenge maisha.