Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Usijali, nakuchukua mimi. Kigezo changu ni "mwanamke yeyote alie hai". Au na chenyewe hauna?[emoji3][emoji3][emoji3]Hadi hapa nitakufa single
Kama una connection nipatea mkuuKaka mjumbe unataka muhindi njoo upanga huku[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Na we ukimpata wako ata Kama uko na mimba yangu unaenda nayo tu tutamlea mtoto ukiwa kwa huyo mumeo mwingine[emoji41][emoji41]Kwamba ukipata muhindi wakt mm Ninamiak 50 ndo kuachwa uzeen [emoji23][emoji23][emoji23]
Kupumua si ndo kuwa hai au 😀😀Usijali, nakuchukua mimi. Kigezo changu ni "mwanamke yeyote alie hai". Au na chenyewe hauna?
😂😂😂Natia udhu kwanza nipitie comments.
View attachment 2489414
😂😂😂😂
Iyo kiboko😂😂Na we ukimpata wako ata Kama uko na mimba yangu unaenda nayo tu tutamlea mtoto ukiwa kwa huyo mumeo mwingine[emoji41][emoji41]
Kabila lako
Mi nataka shombe shombe😀😀😀Hadi hapa nitakufa single
update ukifanikiwa pata toto la kipembaUmri wangu: 31
Kuishi: Dar es Salaam
Kazi: Engineer mgodini
Dini: Muislam, nimehifadhi juzuu 1, nasoma quran, pia swala 5.
Sifa za Mke
Umri: 18-25
Color: Chocolate au mweupe
Lugha: Awe mwenye rafudhi ya kipemba haswa, mana ndo ugonjwa wangu huo[emoji3]..
Shape: Asiwe mnene
Karibu PM
Nishafeli na hapo nilivo mweusi Sasa😀ukihitaji anaepumua tu utaniambiaMi nataka shombe shombe
[emoji23]Natia udhu kwanza nipitie comments.
View attachment 2489414
Yes, kama unapumua, basi bado roho imo. Sogea tulisongeshe!Kupumua si ndo kuwa hai au [emoji3][emoji3]
Kwakweli mambo ya vigezo tuwaachie wenyewYes, kama unapumua, basi bado roho imo. Sogea tulisongeshe!
Yes, kama unapumua, basi bado roho imo. Sogea tulisongeshe!
Nililala 21:00haya Bantu Lady na To yeye, mume ndo huyu. Sitaki kuwaona mkiendelea kukesha Kama mapopo