Nahitaji mke mpemba

Nahitaji mke mpemba

Natia udhu kwanza nipitie comments.
20230118_185659.jpg
 
Umri wangu: 31
Kuishi: Dar es Salaam
Kazi: Engineer mgodini
Dini: Muislam, nimehifadhi juzuu 1, nasoma quran, pia swala 5.

Sifa za Mke
Umri: 18-25
Color: Chocolate au mweupe
Lugha: Awe mwenye rafudhi ya kipemba haswa, mana ndo ugonjwa wangu huo[emoji3]..
Shape: Asiwe mnene

Karibu PM
update ukifanikiwa pata toto la kipemba
 
Back
Top Bottom