Nahitaji mke mpemba

Mkuu yupo wa unguja nkuunge nae mtoto anajielewa san ndugu ,

/Ni mtoto wa mwenye nyumba yangu hapa unguja , na mzee ni shehe mtaendan
 
Lazima tujue kabila lako ndiyo tukupe mwenetu. Usije pikiwa pweza na chaza ukakimbia nyumbani.

Kama uko serious mtafute mwenyeji wa Pemba akuunganishe, bila ya hivyo huwezi kumpata kirahisi.
 

Wamepigwa pasi wakivaa na baibui zao kama wamevaa kanzu,kila la kheri
 
Andiko na take home yako ni ngapi nikupe rafiki yangu mpemba tena bikra mbele na nyuma.
 
Jamaaanii mwanamke wa kipemba namba E mwenye mkia wenye mafta anahitajika hukuu,,,sifa nyingine zote atavumiliwa tyuu
 
Huu ugonjwa uliupataja wakati hujaoa huku ukisema ni mzee wa juzuu?

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Tushajua unacjotaka pewa n'a mtoto wa watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…