Nahitaji mke mpemba

Nahitaji mke mpemba

Engineer25

Member
Joined
Dec 5, 2022
Posts
5
Reaction score
7
Umri wangu: 31
Kuishi: Dar es Salaam
Kazi: Engineer mgodini
Dini: Muislam, nimehifadhi juzuu 1, nasoma quran, pia swala 5.

Sifa za Mke
Umri: 18-25
Color: Chocolate au mweupe
Lugha: Awe mwenye rafudhi ya kipemba haswa, mana ndo ugonjwa wangu huo[emoji3]..
Shape: Asiwe mnene

Karibu PM
 
Kaka mbona unahangaika tafuta watu wa connection za zanzbar(Nimetumia tafsida kaka)!!!Utaletewa package za pemba uchague mpaka uchoke😂😂😂😂 Útapata ya kuoa humo humo!!!!!

Back
Top Bottom