Mtanzania Mnyonge22
Senior Member
- Sep 2, 2022
- 125
- 455
Wapemba wanataka japo mzazi wako mmoja awe ana root Pemba, Unguja au Tanga🤣🤣 ila wapo wanaume wachache wa Bara ambao wameoa WapembaWapemba nawajua kaka ndio maana nikampa ushauri wa njia ya mkato hapo juu